PAYET AANZA KUKIPIGA UFARANSA MARSEILLE IKIIGARAGAZA LYON KWA 2-1 Kiungo mpya wa Marseille, Dimitri Payet ameingia katika mechi ambayo imeisha kwa kikosi chake kuisha kwa sare ya mabao 2-1.
Marseille imeitwanga Lyon kwa mabao 2-1 katika mechi ya michuano ya Coupe de France kwenye Uwanja wa Velodrome, usiku wa kuamkia leo.
Payet amejiunga na West Ham kwa dau la pauni million 25.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni