Jumanne, 7 Februari 2017

POGBA AFANYA YAKE, ANUNUA JUMBA LA KIFAHARI Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba amenuanua jumla la kifahari lenye thamani ya Sh milioni 2.9. Jumba hilo la kifahari lipo katika eneo la Cheshire nchini England ikiwa ni mwendo wa dakika 20 kutoka uwanja wa mazoezi wa Manchester United. Jumba hilo lina vyumba vitano vya kulala, bwawa la kuogelea la ndani lenye maui ya moto, chumba maalum cha joto, pia chumba maalum cha masuala ya habari ambako anaweza kutumia kwa ajili ya internet na mambo mengine. Pia lina uwanja mkubwa wa wazi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni