MOMPONDAZY

pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo KWAMUJIBU WA BBC. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo KWAMUJIBU WA BBC. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 22 Julai 2016

BBC Dira TV: Sam Allardyce amethibitishwa kuwa meneja wa timu ya taifa ya England. Allardyce, 61, amesaini mkataba wa awali wa miaka miwili baada ya makubaliano kufikiwa na klabu yake ya Sunderland alioisaidia msimu uliopita isishuke daraja. Anachukua nafasi ya Roy Hodgson, ambaye alijiuzulu baada ya England kutolewa kwenye michuano ya Euro 2016 na Iceland. Mchezo wa kwanza wa Allardyce utakuwa wa kirafiki Septemba mosi dhidi ya timu ambayo haijatajwa bado. Je nini maoni yako kuhusu uteuzi huu? Je mameneja wazawa wana ushawishi zaidi katika timu za taifa kuliko mameneja wa kigeni? @mompondazy

Imechapishwa na Unknown kwa 22:09 Hakuna maoni:
Tuma Hii kwa Barua pepeBlogu Hii!Chapisha kwenye XShiriki kwenye FacebookShiriki kwenye Pinterest
Lebo: KWAMUJIBU WA BBC
Machapisho ya Zamani Nyumbani
Jisajili kwenye: Machapisho (Atom)

Tafuta katika Blogu Hii

Kunihusu

Unknown
Tazama wasifu wangu kamili

moses mponda

moses mponda

karibuni sana

pata dondoo na vichwa vya habari motomoto za nje na ndani ya nchi

Translate

Kunihusu

Unknown
Tazama wasifu wangu kamili

MOMPONDAZY

pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.

Kumbukumbu la Blogu

  • ▼  2017 (242)
    • ▼  Machi (2)
      • AZAM FC WAWAOMBA SIMBA WAKAWASHANGILIE YANGA UWANJ...
      • MAOFISA WA TFF WASHINDA SAKATA LA RUSHWA MAHAKAMA ...
    • ►  Februari (37)
    • ►  Januari (203)
  • ►  2016 (1915)
    • ►  Desemba (374)
    • ►  Novemba (427)
    • ►  Oktoba (328)
    • ►  Septemba (314)
    • ►  Agosti (435)
    • ►  Julai (37)
Mandhari ya Rahisi. Inaendeshwa na Blogger.