LIVE PELNATI KUTOKA AMANI: YANGA.. PATA-( 2 ) KOSA (2 ) VS SIMBA ...PATA-( 4 ) KOSA (1)...SIMBA WANAKWENDA FAINALI Simba
Mkude KAFUNGA
Agyei KAFUNGA
Mwanjale KAKOSA (Dida anadaka hapa)
Muzamiru KAPATA
Bukungu KAPATA
(WAMEPATA 3, WAMEKOSA 1)
Yanga
Dida KAKOSA (Agyei anadaka hapa)
Msuva KAPATA
Kamusoko KAPATA
Mwinyi KAKOSAA (Agyei anadaka hapa)
(WAMEPATA 2, WAMEKOSA 1)
Simba wameshinda kwa jumla ya penalti 4-2
Wanakwenda fainali dhidi ya Azam FC
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni