LIVE KUTOKA UWANJA WA TAIFA: SIMBA 0 VS AZAM FC 0 (MAPUMZIKO) MAPUMZIKODAKIKA 2 ZA NYONGEZA
Dk 45, Bokungu anapiga krosi maridadi hapa ya outer lakini Aishi anadaka vizuri kabisa
Dk 44, Manula anafanya kazi nzuri kwa kutokea na kuudaka mpira wa krosi kabla haujamfikia Athanas
KADI Dk 43, Singano naye analambwa kadi ya njano kwa kucheza faulo dhidi ya Banda
Dk 41, Athanas anamgeuza Yakubu ndani ya boksi, anaachia mkwaju unagonga mwamba kwa juu na kuwa goal kick
Dk 39, Simba wanaingia eneo la hatari la Azam, Muzamiru anaachia shuti lakini linakuwa nyanya hapa kwa Manula
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni