LIVE KUTOKA UWANJA WA UHURU: RUVU SHOOTING VS SIMBA DK 14, krosi safi, mpira unapigwa na kugonga mwamba. Lakini sasa kipa wa JKT yuko chini akitibiwa
Dk 13, Mo Ibra anaingia vizuri hapa ndani ya 18, JKT wanaokoa na kuwa konaaaaa
Dk 11, mpira umesimama hapa Kisiga akiwa anatibiwa hapa
Dk 9, Simba wanafanya shambulizi la haraka, Mwanjale anapanda akigongeana na wenzake, anatoa krosi safi kwa Pastory, yeye na nyavu anapaishaa buuuuu]Dk 6, Simba wanaendelea kulisakama lango la Ruvu, Mo Ibra anaingia vizuri na kupiga shuti kali, kipa anadaka mpira unamtoka lakini anawahi
Dk 4, krosi nzuri ya Kichuya, Athanas anaunganisha tena, lakini Shooting wanaokoa
Dk 2, krosi safi ya Zimbwe, Athanas anapiga kichwa hapa lakini ni goal kick
Dk 1, Simba wanaanza kwa kasi wakionekana wamepania kupata bao
KIKOSI CHA SIMBA
1. Daniel Agyei
2. Besaka Bukungu
3. Mohammed Hussein
4. Abdi Banda
5. Method Mwanjale
6. Jonas Mkude
7. Shiza Kichuya
8. James Kotei
9. Pastory Athanas
10.Muzamiru Yassin
11. Mohammed Ibrahim
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni