Jumamosi, 3 Desemba 2016

Guardiola akataa kumpa mkono Cesc Fabregas. Bada ya kuona wachezaji wanatolewa nje dakika za mwisho na Cesc alihusika kwenye hiyo ishu, bila shaka Pep hawezi kuwa mwenye furaha juu ya wachezaji wa Chelsea. Fernandinho alionekana kukasirika kiasi kwamba alianza kumkaba koo Cesc na mwenzake katulia tulii. Mwisho wa sike Fernandinho akatolewa nje na Cesc kubaki. UKijumlishia na hasira za kufungwa goli tatu licha ya kutangulia kwa goli moja, kuna kila sababu Pep kuwa na hasira

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni