ARSENAL YAWATANDIKA 5-1 WEST HAM LONDON Alexis Sanchez akishangilia baada ya kuifungia mabao matatu Arsenal katika ushindi wa 5-1 dhidi ya wenyeji, West Ham United usiku wa Jumamosi Uwanja wa London katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Mesut Ozil na Alex Oxlade-Chamberlain, wakati bao la wenyeji lilifungwa na Andy Carroll
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni