pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Jumatano, 2 Novemba 2016
BAADA YA KUREJESHWA KATIKA KIKOSI CHA KWANZA, BASTIAN SCHWEINSTEIGER AMEWASHUKUTU MASHABIKI
Kiungo mkongwe Bastian Schweinsteiger amerejeshwa kwenye kikosi cha kwanza cha Manchester United. Yeye hajakubali kurejea hivihivi, badala yake amewashukuru mashabiki wa Manchester United walikuwa wakimtumia meseji nzuri za kumjali.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni