Mwenyekiti wa kamati mpya ya mashindano ya Yanga, Paul Malume ametamba kwamba wana mkwanja wa kutosha na kwamba Simba wasahau kuhusu mataji msimu huu na huenda wakayasotea kwa miaka mingine mitano.
Unaamini Simba wataendelea tena kuwa wasindikizaji msimu huu, NDIYO / HAPANA ?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni