Ijumaa, 2 Septemba 2016

HAYA NDIO MANENO YA NGASA KUUSU KILICHO MSIBU MPAKA AKAVUNJA MKATABA WAKE Kiungo wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Ngassa si mchezaji tena wa Free State ya Afrika Kusini. Hiyo inafuatia mchezaji huyo kuvunja mkataba na klabu hiyo. Akizungumzia hilo Ngassa amesema sababu kubwa za kuondoka Free State ni timu hiyo kukosa malengo ya kushinda taji. "Ninaondoka Free State kwenda kujiunga na klabu ambayo itanirejesha kwenye enzi za kushinda mataji,” alisema Ngassa. Je, ni klabu ipi hiyo?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni