Ijumaa, 5 Agosti 2016

Mmiliki wa Klabu ya Leicester City Mthailand Vichai Srivaddhanaprabha amemnunulia gari aina ya BMW i8 kila Mchezaji aliyewezesha timu hiyo kuchukua ubingwa wa ligi kuu nchini Uingereza msimu uliopita Kila gari lina thamani ya Pauni laki Moja

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni