Mechi za Mtoano Europa Ligi 2016/2017 Genk. imepangwa na Lokomativa Zagreb kutoka Croatia, Genk wataanzia ugenini na kumalizia nyumbani Mechi hizi zitachezwa August 18 na Maludiano August 25, na Mshindi wa hatua hii atafuzu hatua ya Makundi na kuungana na timu za Manchester United, Schalke na nyinginezo ambazo ambazo zitaanzia katika hatua hiyo ya makundi itakayojumuisha timu 48. #EuropaLigi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni