Jumamosi, 7 Januari 2017

RONALDO AFUNGA REAL IKIPAA LA LIGA NA KUIFUTA REKODI YA BARCA akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid dakika ya 27 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Granada leo kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Isco dakika ya 12 na 32, Benzema dakika ya 21 na Casemiro dakika ya 58. Kwa ushindi huo, Real pamoja na kuifikia rekodi ya Barcelona kucheza mechi 39 bila kufungwa, sasa inaongoza ligi kwa pointi sita zaidi dhidi ya Barca wanaocheza kesho

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni