Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger jana amethibitisha kuwa mshambuliaji Danny Welbeck anaweza kucheza mechi ya raundi ya 3 FA Cup dhidi ya Preston North End jumamosi hii.
Welbeck,26, amekuwa nje ya uwanja tangu mwezi Mei mwaka jana akisumbuliwa na maumivu ya goti aliyopata kwenye mchezo dhidi ya Man City.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni