Alhamisi, 5 Januari 2017

Klabu ya Hull City jana imemtangaza Marco Silva kuwa kocha wao mpya kwa mkataba wa muda mfupi utakaomalizika mwisho wa msimu huu. Mreno huyo,39, amekuja kuchukua mikoba ya Mike Phelan aliyetimuliwa jumanne ya wiki hii.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni