pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Jumapili, 4 Desemba 2016
DIMBA LA CAMP NOU JANA LILIKUWA NI MALI YA KIUNGO MODRIC Si vibaya kama utasema dimba la Camp Nou katika sehemu ya kuchezea hasa katikati ya uwanja, lilikuwa mali ya Luka Modric. Barcelona walikuwa wenyeji wa Madrid katika mechi ya El Clasico iliyoisha kwa sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Cam Nou. Kiungo huyo wa Madrid raia wa Croatia alimaliza mechi hiyo akiwa bora zaidi kwa viungo wengine wote hadi kwa maksi ya pointi 41, zaidi. Kama hiyo haitoshi, Modric alipiga pasi zake kwa ubora wa asilimia 95.2. Modric mwenye umri wa miaka 31, ndiye alimiliki mpira zaidi kuliko viungo wengine na wachezaji wote waliocheza mchi ya jana.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni