Jumapili, 4 Desemba 2016

CONTE NA GUARDIOLA, HAWA JAMAA KWA MIDADI, HATAREEEEE Kocha wa Chelsea Antonio Conte amemnyoosha mpinzani wake, Pep Guardiola, wakati timu yake iliposhinda kwa mabao 3-1 dhidi ya Man City kwenye Uwanja Etihad. Wawili hao ni wakali wa midadi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni