pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Jumamosi, 3 Desemba 2016
1-1, BARCA WALIANZA, REAL WAKACHOMOA Kiungo wa Real Madrid, Mateo Kovacic akitelezea miguuni mwa mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi kuondosha mpira huku akisaidiwa na mchezaji mwenzake, Luka Modric kumdhibiti Muargentina huyo katika mchezo wa La Liga usiku huu Uwanja wa Camp Nou. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1, Barca wakitangulia kwa bao la Luis Suarez dakika ya 53 kabla ya Sergio Ramos kuisawazishia Real dakika ya mwisho katika mtanange wa El Clasico
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni