pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Jumatano, 2 Novemba 2016
Yanga ipo mkoani Mbeya kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Mbeya City kwenye uwanja wa Sokoine, Mbeya Hiki ni kikosi cha Yanga kitakachocheza dhidi ya Mbeya City leo jioni 1. Deogratius Munishi 2. Hassani Kessy 3. Mwinyi Haji 4. Andrew Vicent 5. Vicent Bossou 6. Mbuyu Twite 7. Simon Msuva 8. Haruna Niyonzima 9. Amisi Tambwe 10. Donald Ngoma 11. Deusi Kaseke Akiba - Beno Kakolanya - Kelvin Yondani - Oscar Joshua - Thabani Kamusoko - Juma Mahadhi - Obrey Chirwa -Geofrey Mwashuiya
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni