Jumanne, 1 Novemba 2016

Mfungaji wa Muda wote wa timu ya Taifa ya Ujerumani na michuano ya kombe la Dunia Miroslav Klose leo ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka akiwa na umri wa miaka 38.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni