LIVE KUTOKA UWANJA WA TAIFA: YANGA 0-0 STAND UNITED DK 14, kila upande unafanya mashambulizi lakini ulinzi unaonekana kuwa mkali zaidi kwa kila upande
Dk 10, Shambulizi jingine wanafanya Yanga kwa mpira wa faulo wa Mwinyi lakini Stand wanaokoa
Dk 7, Selembe anaingia vizuri kabisa baada ya kugongeana na Chidiebere lakini Disa anatoka na kudaka
Dk 5, Yanga inapata kona ya pili baada ya Niyonzima kupiga mpira ukaokolewa na kutoka. Kona yenye haina matunda
Dk 4, Ngoma anaingia vizuri, lakini Stand wanawahi na kutoa inakuwa kona
Dk ya 1 mpira umeanza kwa kasi na Yanga ndiyo wanaoshambulia mfululizo
KIKOSI CHA YANGA
1. Deougratius Munishi ‘Dida’
2. Juma Abdul
3. Mwinyi Haji
4. Nadir Haroub
5. Kelvin Yondani
6. Justice Zulu
7. Simon Msuva
8. Thabani Kamusoko
9. Donald Ngoma
10. Obey Chirwa
11. Haruna Niyonzima
Akiba
Ben Kakolanya
Ramadhani Kessy
Vicent Andrew
Deus Kaseke
Martin Emmanuel
Said Juma Makapu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni