Zikiwa zimepita siku chache tangu atumbuize katika "Glo Caf Awards 2016" huko nchini Nigeria, leo msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amekabidhiwa bendera ya Tanzania na waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh.Nape Nnauye ili kuiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya AFCON 2017 nchini Gabon ambapo msanii huyo atatumbuiza kwenye sherehe za ufunguzi jumamosi hii Januari 14. (📸 @wcb_wasafi )
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni