PICHA3: Ibrahim Ajib ndani ya uwanja wa Amaan, Zanzibar Mshambuliaji wa klabu ya Simba Ibrahim Ajib yupo ameungana na timu yake baada ya kurejea kutoka Misri alikukokuwa akifanya majaribio kwenye kloabu ya Haras Al Hodoud.
Ajib ameonekana kwenye uwanja wa Amaan wakati Simba ikicheza mechi ya Mapinduzi Cup dhidi ya KVZ.
Hadi sasa bado hakuna taarifa rasmi kutoka uongozi wa Simba wala Al Hodoudkama Ajib amefanikiwa katika majaribio yake au vinginevyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni