LIVE KUTOKA JAMHURI: MTIBWA SUGAR 0 VS 0 SIMBA Dk 28, Luizio anamtoka Ali Shomari, anapiga krosi safi kwa Mavugo akiwa yeye na kipa Mohammed lakini anashindwa kufunga
Dk 20, hakika mpira hauna mvuto sana. Mtibwa Sugar wanapata kona, inachongwa vizuri na Mandawa anapiga kichwa safi kabisa, lakini Agyei anadaka vizuriDk 15 Kotei mita 28 anaachia shuti kali lakini Said Mohammed anadaka vizuri kabisa
Dk 14, Mtibwa Sugar wanafanya shambulizi kali hapa, lakini Simba wanaokoa na kuwa kona. anaichonga Baba Ubaya lakini Simba wanaokoa vizuri
Dk 11 sasa, mechi ina presha kubwa. Lakini zaidi mpira unachezwa katikati na uwanja unaendelea kuonekana tatizo katika umiliki wa mpira
Dk 6, Simba wanapata kona, anaichonga hapa Kichuya lakini ni kona hovyoooo
Dk 4 mpira safi wa krosi wa Hamad Juma lakini unakosa mtu, Mtibwa wanaokoa
Dk 1, mpira umeanza lakini ikionekana kuanza kwa kubutua. Mtibwa wanapata faulo si mbali na lango la Simba
KIKOSI MTIBWA:
1-Said Mohamed
2-Ally Shomary
3-Issa Rashid
4-Henry Joseph
5-Salim Mbonde
6-Shaban Nditi
7-Haruna Chanongo
8-Ally Makarani
9-Rashid Mandawa
10-Jaffary Salum
11-Vicent Barnabas
SUB
-Benedict Tinoko
-Rogers Gabriel
-Kassian Ponera
-Dickson Daudi
-Ibrahim Rajabu Jeba
-Kelvin Friday
-Hussen Javu
KIKOSI SIMBA:
1. Daniel Agyei,
2. Hamad Juma,
3. Mohamed Zimbwe
4. Abdi Banda
5. Method Mwanjale,
6. Jonas Mkude
7. Shiza Kichuya
8. James Kotei
9. Laudit Mavugo
10 Juma Liuzio
11. Mwinyi Kazimoto
Sub…
Peter Manyika
Novatus Lufunga
Jamal Mnyate
Pastory Athanas
Mzamiru Yassin
Ibrahim Ajibu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni