pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Alhamisi, 5 Januari 2017
Jerry Muro ameomba ‘poo’ TFF Hatimaye msemaji wa Yanga Jerry Muro ameinua mikono juu na kuiangukia TFF kwa kuandika barua ya kuomba kupunguziwa adhabu ya kufungiwa kutojihusisha na masuala ya soka kwa muda wa mwaka mmoja. Adhabu ya Muro ilianza Julai 7, 2016 hiyo inamaanisha tayari ameshatumikia adhabu yake kwa kipindi kisichopungua miezi sita. TFF kupitia kamati ya maadili ilimfungia Jerry Muro kutokana na kutumia maneno ambayo si ya kiungwana michezoni hususan soka.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni