Jumapili, 4 Desemba 2016

Mchezaji wa U-20 afariki dunia uwanja wa Kaitaba Mchezaji Ismail Khalfan amefariki dunia baada ya kugongana na beki wa Mwadui FC katika mchezo wa raundi ya saba ligi ya vijana (U-20) huko Bukoba mkoani Kagera. Kwa mujibu wa taarifa zilizoifikia mompondazy kutoka Bukoba, tayari imethibitishwa na daktari wa hospitali ya rufaa ya Bukoba kuwa, amefariki dunia na mwili wake umehifadhiwa kwenye hospitali hiyo. Habari zaidi inakujia hivi punde…


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni