pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Jumatatu, 21 Novemba 2016
Taarifa mpya kutoka uongozi wa Simba SC Uongozi wa Simba SC kupitia kwa afisa habari wake Haji Manara, umetoa taarifa kwa wanachama wake kuwajulisha kuhusu mkutano mkuu wa dharura kwa ajili ya kurekebisha katiba yao utakaofanyika December 11, 2016 kwenye bwalo la maafisa wa Polisi Oysterbay . Mabadiliko hayo ya katiba yatafanyika ikiwa lengo kuu ni kutaka kubadili mfumo wa uendashi wa klabu hiyo kongwe nchini ambapo mwekezaji Mohammed Dewji anataka kununu hisa asilimia 51 kutoka kwenye klabu hiyo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni