KWELI RONALDO NI HATARI, REKODI ZAONYESHA ANA MABAO MENGI KULIKO MECHI ALIZOCHEZA Cristiano Ronaldo ameonyesha kweli ni mshambuliaji hatari na kiboko kati ya waliowahi kuichezea Real Madrid.
Tokea ametua Madrid takwimu zinaonyesha hivi:
Mechi 361
Mabao 374
hat-tricks 39
Makombe 8
Ballon d'Ors 2
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni