Jumapili, 2 Oktoba 2016

SERENGETI BOYS APA KAZI TU LEO KUWAVAA WENYEJI WAO CONGO WAKIWANIA KUFUZU AFCON

Kikosi cha timu ya taifa ya vijana cha Tanzania, Serengeti Boys sasa kipo uwanja mjini Brazzaville kuwavaa wenyeji Congo katika mchezo wa kuwania kucheza Afcon. Mechi hiyo ni ya pili baada ya Serengeti Boys kushinda mabao 3-2 jijini Dar es Saalam. Boys wanatakiwa kushinda au sare ya aina yoyote wakati Congo wanatafuta ushindi angalau wa bao 1-0 ili kusonga mbele. KILA LA KHERI SERENGETI BOYS

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni