Alhamisi, 1 Septemba 2016

Imekuwa kawaida watu wakiwa katika kipindi cha uchumba wanapenda kwenda "Outing" kwa pamoja na mara nyingi kwa ajili ya kujiliwaza. - Baada ya kufunga ndoa, haswa kwa wanaume utakuta ni wachache wanaoambatana na wake zao au familia zao kwenda "Outing". Je, ni ipi haswa sababu ambayo husababisha wanandoa kutoambatana mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni