Jumatano, 11 Januari 2017

Sanamu ya Lionel Messi iliyopo huko katika mji wa Buenos Aires,Argentina imeharibiwa kwa kukatwa katikati huku waharibifu wakiwa hawajatambulika Sanamu hiyo ilizunduliwa mwezi juni mwaka jana mara baada ya mwanasoka huyo kutangaza kustaafu kucheza soka la kimataifa kabla ya kurejea tena miezi michache baadaye. Serikali ya jiji hilo tayari imeshaanza kufanya kazi ya kuikarabati sanamu hiyo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni