Jumanne, 10 Januari 2017

LIVE PELNATI KUTOKA AMANI: YANGA.. PATA-( 2 ) KOSA (2 ) VS SIMBA ...PATA-( 4 ) KOSA (1)...SIMBA WANAKWENDA FAINALI Simba Mkude KAFUNGA Agyei KAFUNGA Mwanjale KAKOSA (Dida anadaka hapa) Muzamiru KAPATA Bukungu KAPATA (WAMEPATA 3, WAMEKOSA 1) Yanga Dida KAKOSA (Agyei anadaka hapa) Msuva KAPATA Kamusoko KAPATA Mwinyi KAKOSAA (Agyei anadaka hapa) (WAMEPATA 2, WAMEKOSA 1) Simba wameshinda kwa jumla ya penalti 4-2 Wanakwenda fainali dhidi ya Azam FC

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni