pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Alhamisi, 5 Januari 2017
Kipa wa Timu ya Taifa ya Uganda na Mamelodi Sundowns, Denis Onyango ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika Mwaka 2016 kwa wachezaji wanaocheza ndani ya Afrika
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni