Ijumaa, 2 Desemba 2016

SERIKALI 'YAIPA' YANGA UWANJA WA UHURU NA TAIFA Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel (katikati) akisaini kwa niaba ya Serikali mkataba wa kuiruhusu Yanga kutumia Uwanja wa Uhuru kwa mechi za mashindano ya nyumbani na Uwanja wa Taifa kwa mechi za michuano ya Afrika leo mjini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Baraka Deusdedit.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni