Ijumaa, 2 Desemba 2016

LEWANDOWSKI APIGA MBILI, BAYERN YASHINDA 3-1 UGENINI Nyota wa Bayern Munich, Robert Lewandowski akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake mabao mawili dakika za nane na 90 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji Mainz jana usiku kwenye mchezo wa Bundesliga. Bao lingine la Bayern Munich lilifungwa na Arjen Robben dakika ya 21, wakati la wenyeji lilifungwa na Jhon Cordoba dakika ya nne

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni