pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Jumamosi, 17 Desemba 2016
CHEKA ADUNDWA INDIA, NI KWA KO KATIKA RAUNDI YA TATU... Bondia Vijender Singh Beniwal wa India amemtwanga Francic Cheka kwa KO katika raundi ya tatu. Katika pambano hilo la kuwania mkanda wa WBO Asia-Pacific Super Middleweight ambao Vijender Singh alikuwa anaushikilia, Cheka alionyesha hajiwezi kuanzia raundi ya pili baada ya kuvurumishiwa makonde mfululizo. Katika raundi ya tatu, Mhindi huyo aliyekuwa nyumbani, alifanikiwa kuibuka na ushindi baada ya kumtwanga mfululizo Cheka aliyeonyesha ameisha kabisa.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni