Jumatano, 2 Novemba 2016

LIVE KUTOKA KAMBARAGE SHINYANGA; STAND UNITED 0 VS 1 SIMBA

Dk 35, Stand wanapata kona baada ya kusukuma mashambulizi mfululizo kwenye lango la Simba ]Dk 33, GOOOOOOOOO Kichuya aaukwamisha mpira wavuni Dk 31, PENAAAAAAAT...MAVUGO Anaangushwa na Adeyum Dk 30, Stand wanafanya shambulizi kali hapa, piga nikupige lakini Simba wanaokoa KADI Dk 29, Mwanjale analambwa kadi ya njano kwa kumuangusha Sabato Dk 27, mpira unaendelea lakini ni taratibu kutoka kila upande kama vile hakuna timu yenye haraka Dk 26 sasa, mpira umesimama, kuna mchezaji wa Stand United anatibiwa pale uwanjani Dk 23, Mo Ibrahim anapoteza nafasi nzuri hapa ya kufunga akiwa amebaki na lango, mpira unamzidi nguvu Dk 22, mpira unaonekana kuchezwa zaidi katikati ya uwanja na hakuna mashambulizi makali kwenye milango DK 19, Bukungu anafanya kazi ya ziada kuokoa krosi ya Kelvin Sabato Dk 13, Stand wanaonekana ni wengi zaidi nyumba huku wakifanya mashambulizi ya kushitukiza Dk 10, mpira unaonekana kuwa wa juu zaidi na hata milango haina kashkash sana, kila timu iko makini kwenye ulinzi Dk 5 sasa, bado mpira unaonyesha kuchangamka lakini timu zote mbili si bora katika umaliziaji Dk 1, mechi inaanza na Simba wanakuwa wa kwanza kushambulia. Lakini Mavugo anacheza faulo na mwamuzi anasema mpira uelekezwe Simba

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni