Jumatano, 2 Novemba 2016

Full Time: Toto 0-1 Azam FC (Shaaban dk 81) =Ushindi huo umeifanya Azam FC kuandika rekodi mpya ya kushinda mechi ya kwanza dhidi ya Toto African kwenye ligi ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba tokea ipande daraja mwaka 2008.Dk 81 Goaaal Shaabn anaipatia bao la kwanza Azam FC kwa shuti akimalizia kazi nzuri iliyofanywa na nahodha John Bocco. Toto 0-1 Azam FC

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni