pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Jumapili, 23 Oktoba 2016
HAMILTON ASHINDA US GRAND PRIX Dereva Lewis Hamilton amefanikiwa kushinda US Grand Prix huku dereva mwenzake wa Mercedes Nico Rosberg akishika namba 2 na Daniel Ricciardo wa Red Bull akishika namba 3. Bingwa huyo mtetezi Sasa ameshinda Grand Prix 50 tangu aanze kushiriki katika michuano ya Formular 1 na hii ni mara ya 3 mfululizo anashinda mbio hizi za Marekani Ushindi huu unamfanya Hamilton kuwa nyuma ya Rosberg kwa pointi 26 katika msimamo wa madereva huku zikiwa zimebaki mbio 3 msimu kumalizika. #F1
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni