Jumapili, 23 Oktoba 2016

ATIMAE CHELSEA WAMFANYA KITU MBAYA KOCHA WAO WA ZAMANI JOSE MOURINHO WAMDHALILISHA AKIWA NA TIM YAKE YA MAN U FT #Chelsea 4 - 0 #ManUnited #Pedro 1' #Cahill 21' #Hazard 62' #Kante 70' #StamfordBridge #EPL

sasa ni mapumziko, Manchester United iko nyuma dhidi ya wenyeji wake Chelsea. Chelsea wakiwa Stamford Bridge wanaongoza kwa mabao 2-0 dhidi ya kocha wao wa zamani Jose Mourinho katika mechi kali ya Ligi Kuu England. Mabao ya Chelsea, la kwanza limefungwa na Pedro Rodriguez katika dakika ya kwanza na beki Gary Cahill akaongeza la pili katika dakika ya 21. TUSUBIRI KIPINDI CHA PILI....

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni