Alhamisi, 11 Agosti 2016

Wakati mchakato wa kubadili mfumo wa uendeshaji katika vilabu vikubwa nchini, Simba na Yanga ukiendelea. Unadhani mpango huu utasaidia vilabu kufaidika na bidhaa zao. Je, Ulishawahi kununua 'jezi' halali ya klabu yako? Tujuze hapa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni