Alhamisi, 4 Agosti 2016

Mshambuliaji Mtanzania Abdillahie Yussuf, 24, amejiunga na klabu ya Crawley Town kwa mkopo akitokea Mansfield Town. Klabu zote hizo zinashiriki "League Two" hhko nchini Uingereza

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni