Ajenda kuu sita kuelekea mkutano wa dharura wa wanachama wa klabu ya Yanga hapo kesho ni pamoja 1. Mapato na matumizi ya klabu hiyo msinu ulio pita na masimu mpya 2. Marekebisho ya katiba katiba baadhi ya vipengere 3. Yatokanayo na mkutano mkuu wa Uchaguzi 4. Kuangaria ushiriki wa timu kwenye michuano ya kombe la shirikisho Africa. 5. Uendeshaji wa klabu 6. Udhamini wa klabu na mengineyo Ajenda ipi imekugusa zaidi?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni