pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Jumatatu, 2 Januari 2017
PENALTI MBILI ZA DEFOE ZILIVYOZAA SARE YA 2-2 SUNDERLAND VS LIVERPOOL SUNDERLAND (4-4-1-1): Mannone 7; Love 6, O'Shea 6, Djilobodji 6, Van Aanholt 6; Borini 5.5, Rodwell 6.5 (Manquillo 65, 6), Ndong 6.5, Larsson 6; Januzaj 6 (Khazri 79, 5.5); Defoe 7.5 Subs: Mika, Honeyman, Maja, Embleton, Ledger Scorers: Defoe 25 (pen) & 84 (pen) Bookings: Rodwell, Larsson LIVERPOOL (4-3-3): Mignolet 6.5; Clyne 6, Lovren 6, Klavan 5.5, Milner 6 (Moreno 46, 6.5); Wijnaldum 6 (Origi 73, 6), Can 5.5, Lallana 6; Mane 6.5, Sturridge 7 (Lucas 80), Firmino 5.5 Subs: Karius, Stewart, Ejaria, Alexander-Arnold Scorers: Sturridge 19, Mane 72 Bookings: Milner, Lallana, Mane Ref: Anthony Taylor MOTM: Defoe Att: 46, 494
PICHAAAZ; MAN CITY ILIVYOINYOOSHA BURNLEY KWA MABAO 2-1 PALE ETIHAD STADIUM MANCHESTER CITY (4-1-4-1): Bravo 6; Sagna 6.5, Otamendi 6, Kolarov 6.5, Clichy 7; Fernandinho 4.5; Navas 5 (Silva 46mins, 7), Toure 6, De Bruyne 6, Sterling 6 (Stones 89); Iheanacho 5 (Aguero 46, 7.5) Subs not used: Caballero, Zabaleta, Nolito, A. Garcia Sent off: Fernandinho 32 Goals: Clichy 58, Aguero 62 Booked: Toure, Sagna, Kolarov, Silva BURNLEY (4-4-2): Heaton 7.5; Lowton 6, Keane 7, Mee 6, Ward 5; Boyd 5.5, Arfield 5.5 (Bamford 88), Hendrick 6.5, Gudmundsson 6 (Defour 59, 6.5); Barnes 6 (Vokes 68, 7), Gray 6.5 Subs not used: Darikwa, O'Neill, Robinson, Tarkowski Goal: Mee 70 Booked: Hendrick, Keane, Gray Referee: Lee Mason 6.5 Star man: Aguero
PICHAAAAZ, MAN UNITED ILIVYOITWANGA WEST HAM, IBRA CADABRA AKIENDELEA KUTUPIA WEST HAM (4-3-3): Randolph 7; Nordtveit 5.5, Reid 7, Ogbonna 6, Cresswell 6; Feghouli 5, Kouyate 6 (Fernandes 82mins), Obiang 5.5; Lanzini 7.5 (Ayew 89), Payet 6 (Carroll 69, 6), Antonio 6 Subs not used: Adrian, Quina, Fletcher, Noble Sent off: Feghouli 15 Booked: Payet, Nordtveit MANCHESTER UNITED (4-3-3): De Gea 8; Valencia 5, Jones 6, Rojo 6, Darmian 6 (Mata 46, 7); Carrick 6.5, Herrera 6, Pogba 6.5; Lingard 5.5 (Rashford 58, 7.5), Mkhitaryan 6.5 (Smalling 65, 6), Ibrahimovic 6.5 Subs not used: Romero, Fellaini, Young, Martial Goals: Mata 63, Ibrahimovic 78 Booked: Darmian, Valencia Referee: Mike Dean 2 Attendance: 56,996 MOM: De Gea Ratings by Sam Cunningham
YANGA YAANZA MICHUANO YA MAPINDUZI KWA KISHINDO, YAIZAMISHA JAMHURI KWA MABAO 6-0, NGOMA, MSUVA WAKITAKATA Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga wameanza michuano ya Mapinduzi Cup kwa kishindo kwa kuwachapa Jamhuri kwa mabao 6-0. Katika mechi hiyo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar, leo. Yanga ndiyo walitawala mchezo huo kwa kiwango kikubwa. Mzimbabwe Donald Ngoma alifunga mabao mawili kama ilivyokuwa kwa Simon Msuva ambaye alicheza vizuri mechi hiyo. Mzimbabwe mwingine, Thabani Kamusoko alifunga bao moja kama ilivyokuwa kwa Juma Mahadhi ambaye aliingia katika kipindi cha pili. Yanga ilipata bahati mbaya baada ya kiungo wake, Justice Zulu kuumia na kushonwa nyuzi nne baada ya kugongana na mchezaji wa Jamhuri wakiwania mpira.
AZAM YAANZA VYEMA KOMBE LA MAPINDUZI BAO pekee la mshambuliaji chipukizi, Shaaban Iddi Chilunda limetosha kuipa Azam FC ya Dar es Salaam ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Zimamoto katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi. Katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar jioni ya leo, Chilunda alifunga bao hilo dakika ya 79 akimvisha kanzu kipa baada ya kuipokea kiufundi kwa kifua pasi ya juu ya kiungo Salum Abubakar ‘Sure Boy’. Mchezo wa pili wa kundi hilo unafuatia Saa 2:30 usiku wa leo kati ya Yanga SC ya Dar es Salaam na Jamhuri ya Pemba, Uwanja wa Amaan pia, hapa Zanzibar.
Oscar ajaza mashabiki airport alivyowasili Shanghai China. Kutoka Chelsea ambapo alikua nyuma ya vivuli vya wachezaji wenzake kama wakina Diego Costa, sasa hivi amepata nafasi yake ndani ya China ambapo ameanza maisha mapya ya kuwa star. Midfielder Oscar ataungana na kocha wake wa zamani Adre Villas Boas ambaye anakiongoza kikosi cha Shangai SIPG. Oscar mwenye miaka 25 amekua gumzo baada ya kujaza mashabiki wengi kwenye uwanja wa ndege wakati anawasili huku wengi wao walikua wakitana sign kutoka kwa mchezaji huyo. Mchezaji huyu ambae analipwa £400,000 kwa wiki amesepa kutoka kwenye kikosi cha Chelsea kutokana na kutokua chaguo la kocha wa sasa Conte na kumfanya asicheze kabisa kwa muda mrefu. Hivi ndivyo Oscar alivyopokelewa na mashabiki wa Shanghai SIPG ya China.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)