Jumatatu, 2 Januari 2017

Salum Mayanga leo ametangazwa kuwa kocha wa muda wa Taifa Stars akichukua mikoba ya Kocha Charles Boniface Mkwassa ambaye mkataba wake na TFF umemalizika leo baada ya makubaliano ya pande zote mbili.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni