Jumapili, 18 Desemba 2016

LIVE KUTOKA NANGWANDA SIJAONA: NDANDA FC 0-0 SIMBA Dk 2, Ndanda wanaingia tena hapa, Paul Ngalema anajaribu lakini Agyei anaudaka na kuanguka Dk 1, Ndanda wanakuwa wa kwanza kufika kwenye lango la Simba, anapiga shuti kali hapa Hamisi Rifat lakini hakulenga lango KIKOSI CHA SIMBA 1. Daniel Agyei 2. Bosaka Bukungu 3. Mohamed Zimbwe 4. Method Mwanjale 5. Abdi Banda 6. Jonas Mkude 7. Shiza Kichuya 8. James Kotei 9. Frederic Blagnon 10 Ibrahim Ajibu 11. Mohamed Ibrahim Benchi Peter Manyika Hamad Juma Said Ndemla Laudit Mavugo Jamal Mnyate Novaty Lufunga Mzamiru Yassin

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni