Jumapili, 18 Desemba 2016

KIKOSI CHA SIMBA VS NDANDA LEO, OMOG AMTUPA MUZAMIRU BENCHI, AANZA NA MGHANA Kocha Joseph Omog amepanga kikosi chake dhidi ya Ndanda FC ikiwa ni mechi yake ya 16 ya Ligi Kuu Bara akiamua kuanza na Mgahana James Kotei katika nafasi ya kiungo mchezeshaji na aliyekuwa akiitumikia kabla, Muzamiru Yassin, akianzia benchi. Simba inaivaa Ndanda FC kwao Nangwanda Sijaona mjini Mtwara katika mechi inayotarajiwa kuwa ngumu kweli kwa kila timu. 1. Daniel Agyei 2. Bosaka Bukungu 3. Mohamed Zimbwe 4. Method Mwanjale 5. Abdi Banda 6. Jonas Mkude 7. Shiza Kichuya 8. James Kotei 9. Frederic Blagnon 10 Ibrahim Ajibu 11. Mohamed Ibrahim Benchi Peter Manyika Hamad Juma Said Ndemla Laudit Mavugo Jamal Mnyate Novaty Lufunga Mzamiru Yassin

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni