pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Jumanne, 2 Agosti 2016
Mwenyekiti wa Klabu ya Bayern Munich Karl-Heinz Rummenigge amesema kuwa milango ipo wazj kwa kiungo Bastian Schweinsteiger kama anatakakhrejea kunako klabu hiyo. Bastian, 32, sasa atakuwa akifanya mazoezi na kikosi cha Man United chini ya miaka 23 baada ya meneja Jose Mourinho kuondoka klabuni hapo. Mjerumani huyo amejiunga na mashetatani hao mwaka jana 2015 akitokea Bayern Munich na amebakisha mkataba wa miaka miwili Man United mompondazy.blogspot
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni