Jumatano, 3 Agosti 2016

LEICESTER CITY YAMSAJILI KAPUSTKA Klabu ya Leicester City leo imetangaza kumsajili winga Bartorz Kapustka kutokea klabu ya Crocovia ya Poland kwa mkataba wa miaka mitano Mabingwa bao wa Uingereza wametoa kitita cha pauni milioni 7. 5 kupata saini ya winga huyo mpoland mwenye umri wa miaka 19. Kapustka alikuwa katika kikosi cha tim ya taifa ya poland kilichoshiriki michuano ya Euro 2016 akicheza mechi 4 kati ya 5 ambazo timu hiyo ilicheza katika michuano hiyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni